Skip to main content

Posts

KIKOSI CHA TIMU YA WATAALAMU WA UGAVI NA MANUNUZI WALIFANIKIWA KUWANUNUA WA WATAALAMU WA UGAVI NA USAFIRISHAJI KWA TEN PERCENT(10%) KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT).

Hichi ni kikosi cha timu ya wataalamu wa ugavi na manunuzi (PROCUMENT AND LOGISTICS) na washabiki wao walivalia jezi nyeusi yenye nembo ya chama chao cha wagavi na wanunuzi viuoni procument and supply students association(PSSA) Hiki ndio kikosi cha Transport and Logistic ikiwa ni bingwa mtetezi wa kombe la interclass 2018\2019 Moto uliwaka katika Viwanja vya chuo t cha Taifa cha usafirishaji (NIT) kuwakutanisha miamba miwili yenye mashabiki wengi kuliko courses zote na na hadi mchezo una malizika dakika 90 kwa kutoka suluhu ya bila bila na procument and logistics kufanikiwa kuingia nusu fainali baada ya kuwa na points 4 kipindoni na kuwatoa logistics wakiwa na point moja katika kundi lao

TIMU YA MECHANICS WAVUNJA SPANA NA KUSHINDWA KUFUNGUA NATI ZA TIMU YA WALIMU WA HESAMU NA WAHASIBU KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT)

Timu iliyo valia jezi nyeusi zenye stari mweupe ndicho kikosi cha MECHANICS na pia walio vyalia jezi ya dark blue zenye mstari mwekundu ni timu ya BEMIT\BATF siku ya jana walipimana nguvu na baina ya timu hizi mbili na mpaka kipenga cha mwisho cha muamizi kupulizwa na matokeo kuwa ni MECHANICS 0 na BEMIT\BATF 2 .

ZOEZI LA UCHUKUAJI WA FOMU YA MAOMBI YA UTAMBULISHO WA TAIFA KATIKA OFISI ZA SERIKALI YA WANAFUNZI (SONIT) KATIKA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT).

Ni zoezi ambalo hali kutotezi muda ukifika kinacho hitajika kuandika jina na registion number yako pia serikali ya wanafunzi (SONIT) imewapa fursa kupitia rais wake chukuliana fomu kwa asiye mazingira ya chuo kwa siku ya Leo.pia unatakiwa kujua namba ya rafiki yako na jina lake sahihi ili uwezekumchulia fomu hiyo

TANGAZO KWA WANAFUNZI WOTE WA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT) 15\7\2019 KUTAKUWA NA ZOEZI LA UJAZAJI FOMU YA MAOMBI YA UTAMBULISHO WA UTAIFA

WATALAMU WA UFUNDI INJINI MAGARI(AUTOMOBILE ENGINES) WA ENDELEZA UBABE MBELE YA TIMU YA AVI\CL\BBA KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA USAFIRISHAJI (NIT)

Hii ni mechi ya pili iliyocheza mida ya alasiri KATIKA viwanja vya chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT).Timu iliyovalia jezi nyeupe hizo pia ni jezi ya timu ya taifa ya Tanzania (Taifa stars) kwa NIT ni AUTOMOBILE ilifanikiwa kuwachakaza kipindi cha kwanza goli lilofungwa na mchezaji mahiri aliye valia jezi nambari 7 Majid Saidi na half time kuongoza kwa goli moja bila na baada ya mapumziko ya kipindi cha pili kuoachikwa bao la pili kupitia captain team aliyo valia jezi nambari 4 iliyoandikwa jina LA lectures (SALAMIDA) na kuihakikisha timu take kwa ushindi wa mbili bila moja kinga cha muamuzi kupizwa .AUTOMOBILE 2 na AVI\CL\BBA 0 nakunyakuwa point 3 muhimu na kuwafanya kuongoza kundi kwa kuwa na point 6 mkononi na kuongoza katika kundi lake. Aliye valia jezi nambari 4 mgongoni yenye jina la lectures aitwaye Salamida aliisadia kupachika goli la pili na kuibuka kidedea mbele ya AVI\CL\BBA jina lake maarufu (chuku) na jina la halisi ni Emannueli magwe (Team Captain)

SOKA LEO ; TIMU YA HR\MKT NAENDELEZA UBABE KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT)

Hiki ndicho kikosi cha timu ya HR(Human Resources) na MKT(Market) akiwa wameungana pamoja na kuform timu moja. Hiki ndicho kikosi cha wataalamu wa sayansi ya mawasiliano (IT\COMP.SC) Katika mchezo wa Leo baina ya HR\MKT na IT\COMP.SC.HR\MKT iliendeleza ubabe wake kwa kushinda mechi mbili mfululizo kwa magoli matatu(3) kila mechi moja pia siku ya Leo imeshinda goli 3 kwa 1.Katika kipindi cha kwanza timu zote mbili zilitoka suluhu ya moja moja na magoli yalifungwa na James Philemon jezi nambari 17 wa timu ya HR\MKT na mchezaji wa IT\COMP.SC anaitwa Mayanda mwenye jezi nambari 3.baada ya kipindi cha pili HR\MKT walifanikiwa kufunga magoli mawili na yaliyo fungwa na Jerry jezi nambari 13 na Raniel jezi nambari 3 na matokeo ya kipenga cha mwisho wa mchezo HR\MKT 3 na IT\COMP.SC 1

MIAMBA MIWILI YA KUTANA KUPIMANA NGUVU KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT)

Leo mida ya alaasiri miamba miwili ilipimana nguvu baina ya timu ya IT\COMP.SC VS MECHANICS mpaka kuelekea mapumziko timu ya IT\COMP.SC ilifanikiwa kwa kuongoza goli moja bila na lilofungwa na mchezaji mahiri aliye valia jezi nambari 20 mgongoni mwake.baada ya mapumziko dakika kadha wataalamu wa ufundi(MECHANICS) waka sawazisha goli kupitia mchezaji wao machachari aliye valia jezi nambari 12 na kuwafanya watalamu wa sayansi ya mawasiliano(IT COMP.SC) Kubaki midomo wazi na mpira kumalizika kwa kutoka suluhu ya moja moja.IT\COMP.SC 1 na MECHANICS 1

MICHEZO NA BURUDANI KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT)

Kivumbi kilitimuka katika viwanja vya chuo cha Taifa cha usafirishaji (NIT) baina ya PROCUREMENT vs AVI\CI\BBA na timu ya maafisa ugavi na ununuzi wakafanikiwa kuwa chabanga goli moja katika kipindi cha kwanza goli lililo fungwa na mchezaji aliye valia jezi namba 7 na kuwafanya wataalamu wa uongozaji wa ndenge AVI\CI\BBA Walioungana CI\BBA na kubaki nyuma kwa goli moja bila mpka kipenga cha mwisho cha muamuzi wa mchezo huu.PROCUMENT 1 na AVI\CI\BBA 0

MAMBO YAMEWAKA MOTO VIWANJANI NI MECHI YA PILI YA UFUNGUZI WA MICHUANO YA INTERCLASS KATIKA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI( NIT )YALIYO KUTANISHA BINGWA MTETEZI LOGISTICS NA AUTOMOBILE ENGINEERING

Hiki ndio kikosi cha team ya Automobile engineering wakivalia jezi nyeupe ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa star's) Hiki ndicho kikosi cha timu ya logistics. Mtanange mwingine wa pili ulianza mida ya saa kumi alasiri ikihusisha wapinzani wa jadi dhidi ya mafundi makenika (Automobile engineering) na wasafirishaji(Logistics) akiwa kama bingwa mtetezi wa kombe Hili la interclass baada ya bingwa mtetezi mwaka 2018\19 kufunga goli katika kipindi cha kwanza lililofungwa na mchezaji wa automobile Emanueli mangwe jezi no 17 goli hilo kudumu mpka kipenga cha mwisho cha refaree na kutoa matokeo Automobile 1 na logistics 0

LEO ULIKUWA UZINDUZI WA MASHINDANO YA INTERCLASS KATIKA CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT)

Hawa ni wachezaji wa timu ya HR na Market wakiwa wameungana na kutengeneza timu moja . Timu hii ni muunganiko baina ya BEMIT na BATF na kuform timu moja Baada ya mtanage mkali wa ufunguzi kuisha matokeo ni HR\MKT (3)na BATF\BEMIT (2).kipindi cha kwanza HR\MKT Kuongoza (2) magoli yakifungwa na James philimoni jezi 17 na lapili seif jezi (7) na goli la BEMIT\BATF goli LA kwanza lilifungwa na Alex kadangu jezi no (9) na mechi kumalizika kwa kufungwa goli mbili goli la HR\MKT lilifungwa na James philimon jezi no(9) na BEMIT\BATF kusawazisha dakika cha na kufungwa na Vitus jezi no (8) na matokeo kubaki BEMIT\BATF 2 na HR\MKT 3

NI MSIMU WA MICHEZO NA BURUDANI NIT; RATIBA YA MAKUNDI YA MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU ITAKAYO ANZA KURINDIMA KATIKA VIWANJA YA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT) MAARUFU INTERCLASS

HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT)

siku ya Jana pia tulishuhudia mazoezi ya Mpira wa basketball yanaendelea katika viwanja vya shekilango kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya kimadarasa maarufu(INTERCLASS)

HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT)

Mambo ni moto katika viwanja vya chuo cha taifa cha usafirishaji(NIT) kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya madarasa maarufu kama (INTERCLASS) mazoezi laini yanaendelea nje ya uwanja huku pia ndani ya uwanja mambo yakiwa moto pia waziri wa MICHEZO na BURUDANI Mh OMARY maulidi s wa chuo cha taifa cha usafirisha (NIT) akisimamia zoezi la urekebishaji wa uwanja kwa ajili ya msimu mpya ya mashindano ya madarasa (INTERCLASS).

HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI ; HAYA NI MAANDALIZI KWA AJILI YA MASHINDANO YA INTERCLASS YANAYO HUSISHA COURSE MBALIMBALI (NIT)

waziri wa michezo na burudani Mh OMARY maulid s wa serikali ya wanafuni (SONIT)akitoa maelezo namna marekebisho ya uwanja utakavokuwa na utakavyo chongwa. Mazoezi yanaendelea ya mpira wa wavu (NIT) kwa ajili ya maandalizi ya madarasa Ali maarufu (INTERCLASS) Mambo ni moto sana mazoezi yaendelea pia ya Mpira wa Pete yawakina Dada wa (NIT) kwa ajili ya mashindano ya madarasa.

TAARIFA KWA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KUTAKUWA NA MAFUNZO (DARSA) YANAYOTOLEWA NA JUMUIYA YA KIISLAMU (MSANIT)

TANGAZO TANGAZO HII NI KWA WAKILISHI WA MADARASA (CR'S) KUTAKUWA NA KIKAO SIKU YA 13\06\2019

UZINDUZI!!! UZINDUZI!!! 05\06\2019 ULIFANYIKA UZINDUZI WA CLUB YA MAZINGIRA KATIKA CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI TANZANIA (NIT)

SLOGAN INASEMA;TUMIA MIFUKO MBADALA WA PLASTIKI KWA USTAWI WA AFYA.MAZINGIRA NA MAENDELEO YA UCHUMI

UGENI MZITO CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT); KATIBU MKUU KIONGOZI WA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BALOZI KIJAZI AKIWA KWENYE GARI LILILOTENGENEZWA NA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI WANAOSOMEA UHANDISI CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI MARA ZOTE KIMEKUWA KIKIUNGA MKONO JUHUDI ZA RAISIVWA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT JOHN POMBE MAGUFULI WA KUIFANYA TANZANIA YA KUWA NCHI YA UCHUMI WA KATI KUPITIA SERA YA TANZANIA YA VIWANDA.

RATIBA YA MAKUNDI YA MASHINDANO YA VIUO VIKUU VYA DAR ES SALAAM YA MPIRA WA MIGUU

MAMBO NI MOTO; MAONYESHO YA MAFUNZO YA UFUNDI STADI YANAYOFANYIKA KWENYE UWANJA WA JAMHURI DODOMA AMBAPO WANAFUNZI WA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT) GABRIEL JEREMIAH NA BONIFANCE MTATIRO WAMEONYESHA GARI WALILOTENGENEZA LINALOTUMIA UMEME (ELECTRICAL CAR) GARI HILO LENYE UZITO WA KILO 200 LINALOTUMIA BETRI ZA KUCHAJI LINAUWEZO WA MWENDO KASI WA KM 80 KWA SAA NA KWENDA KM 90 LINAPOISHIA CHAJI GARI HILO LISILO NA INJINI, GIA BOKSI WALA DIFU LILILOKUWA LINAONESHWA KATIKA MAONYESHO YA KWANZA YA MAFUNZO YA UFUNDI STADI.