ZOEZI LA UCHUKUAJI WA FOMU YA MAOMBI YA UTAMBULISHO WA TAIFA KATIKA OFISI ZA SERIKALI YA WANAFUNZI (SONIT) KATIKA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT).
Ni zoezi ambalo hali kutotezi muda ukifika kinacho hitajika kuandika jina na registion number yako pia serikali ya wanafunzi (SONIT) imewapa fursa kupitia rais wake chukuliana fomu kwa asiye mazingira ya chuo kwa siku ya Leo.pia unatakiwa kujua namba ya rafiki yako na jina lake sahihi ili uwezekumchulia fomu hiyo

Comments
Post a Comment
Yes