Hiki ndicho kikosi cha timu ya HR(Human Resources) na MKT(Market) akiwa wameungana pamoja na kuform timu moja.
Hiki ndicho kikosi cha wataalamu wa sayansi ya mawasiliano (IT\COMP.SC)
Katika mchezo wa Leo baina ya HR\MKT na IT\COMP.SC.HR\MKT iliendeleza ubabe wake kwa kushinda mechi mbili mfululizo kwa magoli matatu(3) kila mechi moja pia siku ya Leo imeshinda goli 3 kwa 1.Katika kipindi cha kwanza timu zote mbili zilitoka suluhu ya moja moja na magoli yalifungwa na James Philemon jezi nambari 17 wa timu ya HR\MKT na mchezaji wa IT\COMP.SC anaitwa Mayanda mwenye jezi nambari 3.baada ya kipindi cha pili HR\MKT walifanikiwa kufunga magoli mawili na yaliyo fungwa na Jerry jezi nambari 13 na Raniel jezi nambari 3 na matokeo ya kipenga cha mwisho wa mchezo HR\MKT 3 na IT\COMP.SC 1
Hivi leo vitabu ni moja kati ya vyanzo vikuu vya maarifa; ingawa bado watu wengi hawafahamu tunu inayopatikana katika vitabu. Mara nyingi umekuwa ukisoma vitabu kadha wa kadha ambavyo vimekuburudisha au hata kukufundisha mambo mengi. Lakini pia inawezekana wewe una mambo ambayo ungependa kuyaweka katika vitabu. Ni wazi kuwa kuna mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia kuandika kitabu ili kiweze kufikisha ujumbe au kutimiza lengo lililokusudiwa. Karibu ufahamu mbinu zitakazokuwezesha katika uandishi wa vitabu. 1. Chagua wazo bora Hatua ya kwanza kabisa katika uandishi wa kitabu ni kuchagua mada au wazo bora. Hakikisha unachagua wazo au mada kwa makini ambayo itakuwezesha kukamilisha lengo lako. Unaweza kuzingatia haya: Chagua mada ambayo unaipenda na unaielewa vyema. Chagua mada ambayo inahitajiwa na wasomaji. Chagua mada ambayo haikiuki sheria au maadili ya eneo unalolenga. Chagua mada ambayo inaziba pengo lililoachwa na vitabu vingine. 2. Pangilia kabla ya kuandika Mpangilio ni...


Comments
Post a Comment
Yes