TIMU YA MECHANICS WAVUNJA SPANA NA KUSHINDWA KUFUNGUA NATI ZA TIMU YA WALIMU WA HESAMU NA WAHASIBU KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT)
Timu iliyo valia jezi nyeusi zenye stari mweupe ndicho kikosi cha MECHANICS na pia walio vyalia jezi ya dark blue zenye mstari mwekundu ni timu ya BEMIT\BATF siku ya jana walipimana nguvu na baina ya timu hizi mbili na mpaka kipenga cha mwisho cha muamizi kupulizwa na matokeo kuwa ni MECHANICS 0 na BEMIT\BATF 2 .

Comments
Post a Comment
Yes