Hawa ni wachezaji wa timu ya HR na Market wakiwa wameungana na kutengeneza timu moja . Timu hii ni muunganiko baina ya BEMIT na BATF na kuform timu moja
Baada ya mtanage mkali wa ufunguzi kuisha matokeo ni HR\MKT (3)na BATF\BEMIT (2).kipindi cha kwanza HR\MKT Kuongoza (2) magoli yakifungwa na James philimoni jezi 17 na lapili seif jezi (7) na goli la BEMIT\BATF goli LA kwanza lilifungwa na Alex kadangu jezi no (9) na mechi kumalizika kwa kufungwa goli mbili goli la HR\MKT lilifungwa na James philimon jezi no(9) na BEMIT\BATF kusawazisha dakika cha na kufungwa na Vitus jezi no (8) na matokeo kubaki BEMIT\BATF 2 na HR\MKT 3
HEKA HEKA VIWANJANI;KIKOSI CHA TIMU YA HR\MKT WAFANIKIWA PENYA NUSU FAINALI BAADA YA KUWACHAPA MECHANICS KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT).
Hiki ndicho kikosi cha timu ya HR\MKT kilicho wachabanga MECHANICS Kwa goli moja bila katika kipindi cha kwanza goli lilofungwa na mchezaji mahiri maarufu kama (Jay) mwenye jezi nambari 17 mgongoni ni James Philimon akiwa na magoli matano katika michuano ya interclass na hadi kipenga cha mwisho muamuzi wa mchezo huo kumaliza mchezo na kuwafanya HR\MKT chukua point tatu muhimu mbele ya washika spana MECHANICS na kujikusanyia point tisa(9) na kufanikiwa kuingia nusu fainali Matokeo yakiwa HR\MKT 1 na MECHANICS O Hichi ndicho kikosi cha MECHANICS kilicho shindwa kutamba mbele ya timu ya mafisa waajiri wakiungana na mafisa masoko na kufanikiwa kuwatoa katika michuano ya interclass inayoendelea katika chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT).


Comments
Post a Comment
Yes