KIKOSI CHA TIMU YA WATAALAMU WA UGAVI NA MANUNUZI WALIFANIKIWA KUWANUNUA WA WATAALAMU WA UGAVI NA USAFIRISHAJI KWA TEN PERCENT(10%) KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT).
Hichi ni kikosi cha timu ya wataalamu wa ugavi na manunuzi (PROCUMENT AND LOGISTICS) na washabiki wao walivalia jezi nyeusi yenye nembo ya chama chao cha wagavi na wanunuzi viuoni procument and supply students association(PSSA)
Hiki ndio kikosi cha Transport and Logistic ikiwa ni bingwa mtetezi wa kombe la interclass 2018\2019
Moto uliwaka katika Viwanja vya chuo t cha Taifa cha usafirishaji (NIT) kuwakutanisha miamba miwili yenye mashabiki wengi kuliko courses zote na na hadi mchezo una malizika dakika 90 kwa kutoka suluhu ya bila bila na procument and logistics kufanikiwa kuingia nusu fainali baada ya kuwa na points 4 kipindoni na kuwatoa logistics wakiwa na point moja katika kundi lao



Comments
Post a Comment
Yes