WATALAMU WA UFUNDI INJINI MAGARI(AUTOMOBILE ENGINES) WA ENDELEZA UBABE MBELE YA TIMU YA AVI\CL\BBA KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA USAFIRISHAJI (NIT)
Hii ni mechi ya pili iliyocheza mida ya alasiri KATIKA viwanja vya chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT).Timu iliyovalia jezi nyeupe hizo pia ni jezi ya timu ya taifa ya Tanzania (Taifa stars) kwa NIT ni AUTOMOBILE ilifanikiwa kuwachakaza kipindi cha kwanza goli lilofungwa na mchezaji mahiri aliye valia jezi nambari 7 Majid Saidi na half time kuongoza kwa goli moja bila na baada ya mapumziko ya kipindi cha pili kuoachikwa bao la pili kupitia captain team aliyo valia jezi nambari 4 iliyoandikwa jina LA lectures (SALAMIDA) na kuihakikisha timu take kwa ushindi wa mbili bila moja kinga cha muamuzi kupizwa .AUTOMOBILE 2 na AVI\CL\BBA 0 nakunyakuwa point 3 muhimu na kuwafanya kuongoza kundi kwa kuwa na point 6 mkononi na kuongoza katika kundi lake.
Aliye valia jezi nambari 4 mgongoni yenye jina la lectures aitwaye Salamida aliisadia kupachika goli la pili na kuibuka kidedea mbele ya AVI\CL\BBA jina lake maarufu (chuku) na jina la halisi ni Emannueli magwe (Team Captain)


Comments
Post a Comment
Yes