MAMBO YAMEWAKA MOTO VIWANJANI NI MECHI YA PILI YA UFUNGUZI WA MICHUANO YA INTERCLASS KATIKA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI( NIT )YALIYO KUTANISHA BINGWA MTETEZI LOGISTICS NA AUTOMOBILE ENGINEERING
Hiki ndio kikosi cha team ya Automobile engineering wakivalia jezi nyeupe ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa star's)
Hiki ndicho kikosi cha timu ya logistics.
Mtanange mwingine wa pili ulianza mida ya saa kumi alasiri ikihusisha wapinzani wa jadi dhidi ya mafundi makenika (Automobile engineering) na wasafirishaji(Logistics) akiwa kama bingwa mtetezi wa kombe Hili la interclass baada ya bingwa mtetezi mwaka 2018\19 kufunga goli katika kipindi cha kwanza lililofungwa na mchezaji wa automobile Emanueli mangwe jezi no 17 goli hilo kudumu mpka kipenga cha mwisho cha refaree na kutoa matokeo Automobile 1 na logistics 0


Comments
Post a Comment
Yes