HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI ; HAYA NI MAANDALIZI KWA AJILI YA MASHINDANO YA INTERCLASS YANAYO HUSISHA COURSE MBALIMBALI (NIT)
waziri wa michezo na burudani Mh OMARY maulid s wa serikali ya wanafuni (SONIT)akitoa maelezo namna marekebisho ya uwanja utakavokuwa na utakavyo chongwa. Mazoezi yanaendelea ya mpira wa wavu (NIT) kwa ajili ya maandalizi ya madarasa Ali maarufu (INTERCLASS) Mambo ni moto sana mazoezi yaendelea pia ya Mpira wa Pete yawakina Dada wa (NIT) kwa ajili ya mashindano ya madarasa.



Comments
Post a Comment
Yes