Miasha ya mwanadamu yamejawa na changamoto na shida mbalimbali. Changamoto hizo hizo, wapo baadhi ya watu huzivumilia katika kutenda jambo fulani, lakini pia wapo baadhi ya watu hukta tamaa kabisa. Na hao ambao hukata tamaa ndio ile idadi kubwa ya watu ambao hufa na ndoto zao mapema. Lakini ukweli ni kwamba changamoto na shinda mbalimbali za maisha ni kipimo cha akili, kwani wapo baadhi ya waimbaji wa nyimbo huimba katika nyimbo zao na kusema changamoto ni majaribu, na majribu ni mtaji. Hivyo katika maisha haya ni jambo la ajabu sana kama utaendelea kukataa tamaa kwa sababu ya changamoto Fulani. Na ukweli ni kwamba ili uweze kufanikiwa wanasema changamoto hazikwepeki, na changamoto ndio njia ambayo itakufikisha kule ambapo unataka kufika, endapo tu utaamua kupambana na changamoto hizo. Swali linakuja nawezaje kupambana na changamoto hizo? Jambo la msingi unalotakiwa kufanya ni kuhakikisha unapambana na changamoto za maisha ni; 1. Orodhesha changamoto zote ambazo zinakukubali. Hata kama
Job vacancies at UTUMISHI Tanzania https://globalinfoz.com/2020/07/07/job-vacancies-at-utumishi-tanzania/