Mnamo tarehe 14/08/2019 Ndg Samson Mahimbo aliyesomewa mashitaka ya kuomba rushwa ya ngono kwa wanafunzi wake. Ndg Samson Mahimbo alikuwa mhadhili msaidizi wa muda wa part-time Assistant lecture kwa Kipindi cha muhula wa pili (2) wa mwaka wa masomo 2015/2016
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) mkoa wa kinondoni ilianzia kushughulikia jumbo hili siku ya ijumaa tarehe 13 January 2019
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) mkoa wa kinondoni ilianzia kushughulikia jumbo hili siku ya ijumaa tarehe 13 January 2019

Comments
Post a Comment
Yes