wanawake mainjinia(wahandisi) kutoka chuo cha taifa cha usafirishaji NIT waliandika historia na pia kukiheshimisha chuo cha juu ya ubora wa elimu na mafunzo yanayotolewa chuoni NIT hii ni baada ya kumbuka kidedea kwa kutwa kikombe kwenye mashindano ya julikanayo Kama TAWECE yalio shirikisha washiriki tisa na chuo cha NIT kushika namba tatu na kutwaa kikombe cha silver na pia mashindano haya yanashirikisha vyuo vikuu na sekondari kwa mainjinia wanawake na ikiwa chini ya taasisi ya mainjinia Tanzania IET. Tukio hilo lilifanyika katika ukumbi wa Nkurumah hall Jijini Dar es salaam
Picha ya Pamoja ya mainjinia wakike na wakiume wakiwa na rais wa swami ya 33 wa chuo cha taifa cha usafirishaji NIT na serekali ya wanafunzi SONIT mh osuman mchinja katikati wakifurahia ushindi huu.
Picha ya Pamoja ya mainjinia wakike na wakiume wakiwa na rais wa swami ya 33 wa chuo cha taifa cha usafirishaji NIT na serekali ya wanafunzi SONIT mh osuman mchinja katikati wakifurahia ushindi huu.

Comments
Post a Comment
Yes