Mwanafunzi aitwaye NJAKO ambaye ni muhitimu wa fani ya uhandisi kitengo cha matengenezo ya ndege katika chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT ) ametengeneza mguu wa ndege alimaarufu bawa la ndege Kama iliyopita kwenye ndege Aina ya Airbus,Boeng na Mdogo nyingine zinazotumia Aina za miguu au nawatakia hilo. Njako akasema changamoto kubwa ilikuwa ni fedha na hata kupelekea yenye kuuza laptop yake iliamalizie ubunifu wake.
HEKA HEKA VIWANJANI;KIKOSI CHA TIMU YA HR\MKT WAFANIKIWA PENYA NUSU FAINALI BAADA YA KUWACHAPA MECHANICS KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT).
Hiki ndicho kikosi cha timu ya HR\MKT kilicho wachabanga MECHANICS Kwa goli moja bila katika kipindi cha kwanza goli lilofungwa na mchezaji mahiri maarufu kama (Jay) mwenye jezi nambari 17 mgongoni ni James Philimon akiwa na magoli matano katika michuano ya interclass na hadi kipenga cha mwisho muamuzi wa mchezo huo kumaliza mchezo na kuwafanya HR\MKT chukua point tatu muhimu mbele ya washika spana MECHANICS na kujikusanyia point tisa(9) na kufanikiwa kuingia nusu fainali Matokeo yakiwa HR\MKT 1 na MECHANICS O Hichi ndicho kikosi cha MECHANICS kilicho shindwa kutamba mbele ya timu ya mafisa waajiri wakiungana na mafisa masoko na kufanikiwa kuwatoa katika michuano ya interclass inayoendelea katika chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT).
Comments
Post a Comment
Yes