Skip to main content

ZOEZI LA KUSAINI FEDHA ZA FIELD PRACTICE LITAKALO FANYIKA ENEO LA GARDEN MKABALA NA OFISI ZA UHASIBU

MATANGAZO KWA WANUFAIKA
zoezi la kusign pesa za field litakuwa kama mlivyo tangaziwa kwenye matangazo yaliyo pita....wasainishaji watakuwepo pale  garden kuwanzia siku  ya jumatatu  saa tatu asubuhi mbaka saa tisa alasili kwa muda wa siku tano
    MUHIMU SANA HII
Kwa wale wote waliokuwa na  double   payment mukija kusign munapaswa kuja na BANK statement zenu kuanzia 01/06/2018 adi 01/06/2019  ni muhimu sana na itakurahisishiaa mambo ya kwenda na kurudi maana usipo kuja nayo unapaswa kwenda kuichukua

Kwa wale walio anza kuzilipa pesa hizo za double payment munapaswa kuja na pay slip zinazo onesha malipo hayo.
*NB*:- pia kwa wale ambao amujui kama muna pesa za field au amna mtafika pale kwaajili ya kujihakikishia mwenyewe
Asanteni
                      Imetolewa na
                    KAPINGA FRANCE
              Naibu waziri wa mikopo na ufadhili SONIT

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUWA MWANDISHI MZURI WA VITABU

Hivi leo vitabu ni moja kati ya vyanzo vikuu vya maarifa; ingawa bado watu wengi hawafahamu tunu inayopatikana katika vitabu. Mara nyingi umekuwa ukisoma vitabu kadha wa kadha ambavyo vimekuburudisha au hata kukufundisha mambo mengi. Lakini pia inawezekana wewe una mambo ambayo ungependa kuyaweka katika vitabu. Ni wazi kuwa kuna mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia kuandika kitabu ili kiweze kufikisha ujumbe au kutimiza lengo lililokusudiwa. Karibu ufahamu mbinu  zitakazokuwezesha katika uandishi wa vitabu. 1. Chagua wazo bora Hatua ya kwanza kabisa katika uandishi wa kitabu ni kuchagua mada au wazo bora. Hakikisha unachagua wazo au mada kwa makini ambayo itakuwezesha kukamilisha lengo lako. Unaweza kuzingatia haya: Chagua mada ambayo unaipenda na unaielewa vyema. Chagua mada ambayo inahitajiwa na wasomaji. Chagua mada ambayo haikiuki sheria au maadili ya eneo unalolenga. Chagua mada ambayo inaziba pengo lililoachwa na vitabu vingine. 2. Pangilia kabla ya kuandika Mpangilio ni...

CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI TANZANIA (NIT) KINACHO TOA MAFUNZO MBALI MBALI YA USAFIRISHAJI KINAHAKIKISHA SETKA YA UCHUKUZI INAKUWA IMARA SIKU BAADA YA SIKU.

HEKA HEKA VIWANJANI;KIKOSI CHA TIMU YA HR\MKT WAFANIKIWA PENYA NUSU FAINALI BAADA YA KUWACHAPA MECHANICS KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT).

Hiki ndicho kikosi cha timu ya HR\MKT kilicho wachabanga MECHANICS Kwa goli moja bila katika kipindi cha kwanza goli lilofungwa na mchezaji mahiri maarufu kama (Jay) mwenye jezi nambari 17 mgongoni ni James Philimon akiwa na magoli matano katika michuano ya interclass na hadi kipenga cha mwisho muamuzi wa mchezo huo kumaliza mchezo na kuwafanya HR\MKT chukua point tatu muhimu mbele ya washika spana MECHANICS na kujikusanyia point tisa(9) na kufanikiwa kuingia nusu fainali Matokeo yakiwa HR\MKT 1 na MECHANICS O Hichi ndicho kikosi cha MECHANICS kilicho shindwa kutamba mbele ya timu ya mafisa waajiri wakiungana na mafisa masoko na kufanikiwa kuwatoa katika michuano ya interclass inayoendelea katika chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT).