MTANANGE WA KUKATA NA SHOKA DHIDI YA AUTOMOBILE NA PROCUREMENT AND LOGISTICS KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT)
Leo mida ya saa kumi alasiri kulikuwa na mtanange mkali ulio wakutanisha automobile na procurement and logistics.kikosi cha timu ya automobile walivalia jezi nyeupe zenye nembo ya Bendera ya taiga mgongoni ambaye no jezi inayotumiwa na timu ya taifa ya Tanzania (Taifa star's) na kikosi cha procurement kikivalia jezi nyeusi zenye utepe walitoana jasho kwa kutoka suhuhu ya bila bila na hadi kipenga cha mwisho cha muamuzi matokeo kuwa ni AUTOMOBILE 0 na PROCUREMENT AND LOGISTICS 0 Hawa no wachezaji wa automobile na procurement wakiwa wamebadisha jezi na kupiga picha ya pamoja na kushangilia kwa kufanikiwa kupenya nusu fainali kwa fitina za kumtoa logistics katika kundi na kundi kuongozwa na automobile wakiwa na point saba 7 procurement wakiwa na point 5 na logistics kuwa na points 4 na kumfanya bingwa mtetezi logistics kutoendelea na kushindwa kupenya nusu fainali
Comments
Post a Comment
Yes