Skip to main content

KIKOSI CHA TIMU YA WATAALAMU WA USAFIRI WAIBUKA NA USHINDI WA KISTORIA KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI NIT

hichi ndicho kikosi cha timu ya Transport and logistic kilichongia dimbani leo saa nane mchana katika dimba la chuo cha taifa cha usafirishaji NIT na kuibuka na ushindi mnono na kufafanya kunyakuwa point tatu muhimu na kuwa na alama 4 katika kundi lao.hadi kipenga cha mwisho timu ya Transport and Logistic 8 na AVI\CL\BBA 0 Magoli ya timu ya logistic and transport yalifungwa nawachezaji wafuatao yusuph issa jezi namba 10 goli 3 ,solomoni Bakari jezi nambari 5 goli 1,lugano mwaisomola jezi nambari 7 goli 1,kasokola abed jezi nambari 12 goli1,Kennedy magawa jezi nambari 8 goli1 na sensamin pallongyo timu ya transport and logistics wakifubiri mechi ya saa kumi huku wakimuombea njaa adui wao timu ya procurement and logistics kufungwa na timu ya automobile ili waweze kuoenya kwenye nusu faina wakiwa na point saw a nne 4 huku timu ya transport and logistics ikiongoza kwa magoli yakufunga.
Hichi ndicho kikosi cha AVI\CL\BBA kilionyesha udhaifu wa hali ya juu kwa kupingwa goli 8 kwa bila dhidi ya bingwa mtezi wa mashindano ya interclass katika viwanja vya chuo cha taiga cha usafirishaji na kushindwa kuingia nusu fainali

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUWA MWANDISHI MZURI WA VITABU

Hivi leo vitabu ni moja kati ya vyanzo vikuu vya maarifa; ingawa bado watu wengi hawafahamu tunu inayopatikana katika vitabu. Mara nyingi umekuwa ukisoma vitabu kadha wa kadha ambavyo vimekuburudisha au hata kukufundisha mambo mengi. Lakini pia inawezekana wewe una mambo ambayo ungependa kuyaweka katika vitabu. Ni wazi kuwa kuna mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia kuandika kitabu ili kiweze kufikisha ujumbe au kutimiza lengo lililokusudiwa. Karibu ufahamu mbinu  zitakazokuwezesha katika uandishi wa vitabu. 1. Chagua wazo bora Hatua ya kwanza kabisa katika uandishi wa kitabu ni kuchagua mada au wazo bora. Hakikisha unachagua wazo au mada kwa makini ambayo itakuwezesha kukamilisha lengo lako. Unaweza kuzingatia haya: Chagua mada ambayo unaipenda na unaielewa vyema. Chagua mada ambayo inahitajiwa na wasomaji. Chagua mada ambayo haikiuki sheria au maadili ya eneo unalolenga. Chagua mada ambayo inaziba pengo lililoachwa na vitabu vingine. 2. Pangilia kabla ya kuandika Mpangilio ni...

CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI TANZANIA (NIT) KINACHO TOA MAFUNZO MBALI MBALI YA USAFIRISHAJI KINAHAKIKISHA SETKA YA UCHUKUZI INAKUWA IMARA SIKU BAADA YA SIKU.

HEKA HEKA VIWANJANI;KIKOSI CHA TIMU YA HR\MKT WAFANIKIWA PENYA NUSU FAINALI BAADA YA KUWACHAPA MECHANICS KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT).

Hiki ndicho kikosi cha timu ya HR\MKT kilicho wachabanga MECHANICS Kwa goli moja bila katika kipindi cha kwanza goli lilofungwa na mchezaji mahiri maarufu kama (Jay) mwenye jezi nambari 17 mgongoni ni James Philimon akiwa na magoli matano katika michuano ya interclass na hadi kipenga cha mwisho muamuzi wa mchezo huo kumaliza mchezo na kuwafanya HR\MKT chukua point tatu muhimu mbele ya washika spana MECHANICS na kujikusanyia point tisa(9) na kufanikiwa kuingia nusu fainali Matokeo yakiwa HR\MKT 1 na MECHANICS O Hichi ndicho kikosi cha MECHANICS kilicho shindwa kutamba mbele ya timu ya mafisa waajiri wakiungana na mafisa masoko na kufanikiwa kuwatoa katika michuano ya interclass inayoendelea katika chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT).