
Taarifa za ndani kwa wanafunzi wote wa chuo cha taifa cha usafirishaji NIT kwa kuhairishwa kwa test 2 kutoka na ratiba kuingiliana na sikuku za kitaifa (public holiday) iliyekuwa ikitarajiwa kufanyika siku ya jumatatu na alhamisi mwezi 6/2019 na kupelekea mbele zaidi mpaka siku jumatatu 10th na jumanne 11th mwezi June 2019.pia itafanyika katika venue (Mahali) na muda jinsi ratiba ya mwanzo ilivyo eleza.
Comments
Post a Comment
Yes