
Utoaji wa malipo kwa wanafunzi wanao nufaika na Mkopo wa elimu ya juu (Heslb) kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo (field practice training) afisa mikopo wa chuo cha taifa cha usafirishaji NIT napenda kuwataarifu wanufaika wote kuwa ifikapo mwezi July 2018-2019 wanufaika kuwa fedha zilizotengwa kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo watakiwa kusign kabla haujawasili kwenye kituo cha mafunzo.
Comments
Post a Comment
Yes