Skip to main content

SEREKALI YA WANAFUNZI (SONIT) YA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT) KUTWAA TUZO YA HESHIMA

Serikali ya wanafunzi SONIT ya chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT) kupeperusha bendera vema kwa kutwa tuzo ya heshima kwa uwajibikaji bora wa serekali ya wanafunzi (SONIT) iliyotolewa na meneja wa NMB magomeni
Rais wa awamu ya 34 Mh. Abel Machunda (kulia) akiwa na Mh salum Mwakilechile katika hafla ya kutambua juhudi za serikali ya wanafunzi ililofanyika oysterbay jijini Dar es salaam.

Comments