Skip to main content

RAISI WA AWAMU YA 34 MH ABEL J MACHUNDA WA CHUO CHA USAFIRISHAJI (NIT) KWA NIABA YA SERIKALI YA WANAFUNZI SONIT ANAWATAKI MITIHANI MEMA KWA WANAFUNZI WOTE WA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT)

Pia ninapenda kuwakubusha wanafunzi wote kufuata kanunu na sheria zote za mitihani ili kuepusha usumbufu usio wa ladhima na amini mungu atatusimamia kipindi chote cha mitihani na kufanya vizur katika mitihani yetu


Comments