Skip to main content

SHUGHULI ZA SIMAMA NDANI YA DAKIKA 90 KATIKA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT) NA VIWANJA VYAKE KUTIMUKA VUMBI KATIKA MECHI YA MAGWIJI WA SOKA DHIDI YA TIMU YA HR\MKT NA AUTOMOBILE KATIKA FAINALI ZA INTERCLASS MWAKA 2019\2020


       Hiki ndicho kikosi cha timu ya automobile engineering kilichofanikiwa kuingia fainali kwa point 10 kwa kushinda michezo yake mitatu na kutoka droo mechi moja
Waha ndio wachezaji wa timu ya HR\MKT walifanikiwa kuingia nusu fainali kwa kushinda michezo yake minne kwa point 12 bila kupoteza michezo hata moja na kila mechi hizo nne ilifunga magoli matatu kwa kila mechi .
  Baada dakika 90 za mchezo timu ya HR\MKT iliibuka kidedea kwa ushindi na kutwaa kikombe cha michuano ya  interclass na kuandika historia KATIKA viwanja vya chuo cha taifa cha usafirishaji NIT mwaka 2019\2020 kwa HR\MKT 2 na AUTOMOBILE 1
Hivi ndivo ilivyokuwa KATIKA viwanja hivi vya chuo cha taifa cha usafirishaji NIT. Kulikuwa na shangwe la kutosha Jana.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUWA MWANDISHI MZURI WA VITABU

Hivi leo vitabu ni moja kati ya vyanzo vikuu vya maarifa; ingawa bado watu wengi hawafahamu tunu inayopatikana katika vitabu. Mara nyingi umekuwa ukisoma vitabu kadha wa kadha ambavyo vimekuburudisha au hata kukufundisha mambo mengi. Lakini pia inawezekana wewe una mambo ambayo ungependa kuyaweka katika vitabu. Ni wazi kuwa kuna mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia kuandika kitabu ili kiweze kufikisha ujumbe au kutimiza lengo lililokusudiwa. Karibu ufahamu mbinu  zitakazokuwezesha katika uandishi wa vitabu. 1. Chagua wazo bora Hatua ya kwanza kabisa katika uandishi wa kitabu ni kuchagua mada au wazo bora. Hakikisha unachagua wazo au mada kwa makini ambayo itakuwezesha kukamilisha lengo lako. Unaweza kuzingatia haya: Chagua mada ambayo unaipenda na unaielewa vyema. Chagua mada ambayo inahitajiwa na wasomaji. Chagua mada ambayo haikiuki sheria au maadili ya eneo unalolenga. Chagua mada ambayo inaziba pengo lililoachwa na vitabu vingine. 2. Pangilia kabla ya kuandika Mpangilio ni...

CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI TANZANIA (NIT) KINACHO TOA MAFUNZO MBALI MBALI YA USAFIRISHAJI KINAHAKIKISHA SETKA YA UCHUKUZI INAKUWA IMARA SIKU BAADA YA SIKU.

HEKA HEKA VIWANJANI;KIKOSI CHA TIMU YA HR\MKT WAFANIKIWA PENYA NUSU FAINALI BAADA YA KUWACHAPA MECHANICS KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT).

Hiki ndicho kikosi cha timu ya HR\MKT kilicho wachabanga MECHANICS Kwa goli moja bila katika kipindi cha kwanza goli lilofungwa na mchezaji mahiri maarufu kama (Jay) mwenye jezi nambari 17 mgongoni ni James Philimon akiwa na magoli matano katika michuano ya interclass na hadi kipenga cha mwisho muamuzi wa mchezo huo kumaliza mchezo na kuwafanya HR\MKT chukua point tatu muhimu mbele ya washika spana MECHANICS na kujikusanyia point tisa(9) na kufanikiwa kuingia nusu fainali Matokeo yakiwa HR\MKT 1 na MECHANICS O Hichi ndicho kikosi cha MECHANICS kilicho shindwa kutamba mbele ya timu ya mafisa waajiri wakiungana na mafisa masoko na kufanikiwa kuwatoa katika michuano ya interclass inayoendelea katika chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT).